KARIBU


TANGAZO

NAFASI HII IKO WAZI KWA MATANGAZO YA MAKAMPUNI NA WATU BINAFSI WASILIANA NAMI KWA +255 737192988.

Thursday, April 7, 2011

GELLY WA RHYMES SASA AJIKITA KWENYE MOVIE


Msanii anaejulikana kwa kutoa Video kali na za comedy Gelly wa rhymes sasa ameamua kufanya movie kibongo bongo, na movie hiyo ataanza kuishoot kesho akiwa na msanii mwingine aliesaliti mziki kiaina na kuhamia upande wa movie, PHD Hemedy, "movie hiyo itakuwa ni ya serious lakini pia ina vichekesho ndani, nimeandika script mwenyewe nikisaidiana na Hemedy" amesema Gelly

No comments:

Post a Comment