KARIBU


TANGAZO

NAFASI HII IKO WAZI KWA MATANGAZO YA MAKAMPUNI NA WATU BINAFSI WASILIANA NAMI KWA +255 737192988.

Saturday, January 23, 2016

Rose Ndauka Kusaidia vipaji vipya vya Filamu

Mwaka 2016 umeanza vizuri baada ya msanii Rose Ndauka kuamua Kuanza saidia wasanii wachanga Wa Movie wanao chipukia kupitia Rose Ndauka Entertainment. Source: www.djchokamusic.com

Thursday, October 20, 2011

Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake


Hii ni Picha ya kwanza iliyopatikana kwenye mtandao wa Daily star inayoonyesha Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake baada ya kupigwa risasi za Kichwa.

Muammar Gaddafi amekufa katika mateso ya majeraha


Kiongozi wa Zamani wa Libya, Muammar Gaddafi amekufa katika mateso ya majeraha baada ya kukamatwa karibu na Mji wake wa Sirte Juu imethibishwa na Afisa Mwandamizi wa Kijeshi wa Baraza la Taifa Mpito NTC leo.

Afisa huyo wa Baraza la Taifa Mpito, Abdel Majid Mlegta aliiambia Reuters awali kwamba Gaddafi alikamatwa na kujeruhiwa katika miguu yote kabla ya alfajiri leo wakati akijaribu kukimbia baada ya msafara wake kushambuliwa na ndege za kivita za NATO.

'Pia alipigwa risasi kichwani ,`alisema kiongozi huyo.

Saturday, April 9, 2011

Haleluya Collection Volume 5 kufyatuliwa Tamasha la Pasaka


KILELE cha tamasha la kimataifa la Pasaka litakalofanyika Aprili 24 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam, kitakwenda pamoja na uzinduzi wa albamu mpya ya muziki wa Injili ya Haleluya Collections Vol 5. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, itaizindua albamu

Jide, Kidumu Kimasomaso na Tuzo Zao


Lady Jay Dee anatarajia kufanya party maalum ya kujipongeza yeye pamoja na Kidumu, katika mgahawa wake Nyumbani Louge ulipo Namanga. Anasema katika party hiyo pia utakuwa uzinduzi maalum wa siku ya jumapili ambayo atakuwa akipiga show, yeye mwenyewe kwa kupiga nyimbo zake pekee

Chals Baba Awatamani Mapacha Watatu


Mwimbaji wa kutumainiwa wa bendi ya African stars maarufu kama wana wa ku-Twanaga na kupepeta, charles Gabriel Cyprian aka CHALS BABA amesema hivi sasa anapata wakati mgumu kuimba bila maswaiba zake kalala junior na Khalid chokora.Hata hivyo amesema kuwa kuondoka kwao Twanga kumemfanya ajitume zaidi “

Friday, April 8, 2011

JITA RECORDS KUMTOA PRODUCER NA MUIMBAJI MDOGO "JAPH BEEZ"


Baada ya kufanya kazi nyingi za wasanii ambao leo wana majina mazuri walio pitia chuo au Studio ambayo iliwakuza kiasi kikubwa wasanii wa hiphop kwa mara ya kwanza Jita records iliyopo sinza ime kamilisha Album ya msanii ambaye huwezi fananisha na vijana wengine kwani msanii huyu ni Producer mkali ambaye anachukua masomo yake huko Bagamoyo haitoshi pia ni mwimbaji mzuri ambaye ataweza kulishika soko kupitia vipaji vyake tunaomba wapenzi wa mziki wa kizazi kipya waandae kupokea kazi bora ila kwa sasa tuna malizia video 2 kali sana .