Wakati wa kongwe wasanaa ya film wanashangaa ujio wa msanii mpya Dr.kelvin movie yake ya mistress kimada inazidi sumbua sokoni .
Tayari wakongwe wameumiza kichwa baada ya kumuona katika Film kibao akionesha umahiri wake kupitia VENERANDA,SIRI YA MAMA na sasa Prodigal Son yanukia akiwa ndiye Main Character katika picha hilo lililo kuwa na mastaa wengine kibao kama Mzee Magari,Beka,Makala nawengine kibao.
No comments:
Post a Comment