Club ya Bongo Movie baada ya kujipanga vyema na kuja na safu mpya ya uongozi chini ya mwenyekiti Hartman na kocha Chiki Mchoma,walijitupa uwanjani kujipima nguvu na muhimbili veterani na matokeo kuwa 3-2.Timu ya muhimbili walifanikiwa kuwalaza Bongo Movie kwa goli 3-2.Mchezo huo ulifanyika katika viwanja vya muhimbili
No comments:
Post a Comment