Washiriki wa shindano la malkia wa sebene wakipibwa msasa na mwalimu wao kambini hapoMaandazi ya shindano la malkia wa sebene (Ngwasuma) litafanyika Januari 23 yamezidi kupamba moto huku washiriki nao ‘homa’ zikipamba kwa kila mmoja kupania ushindi.Kambi ya shindano hilo hilo sasa imebaki na washiriki 10, baada ya wengine wa idadi kama hiyo kuondelewa kupitia mchujo wa ubora uliofanywa na waandaaji.
No comments:
Post a Comment