Mwanamasumbwi Japhet Kasseba akionesha namna atakavyomfua hasimu wake De gregorio Cosimo kutoka nchini Italy,leo asubuhi mbele ya waandishi wa habari Idara ya habari MAELEZO jijini Dar,pambano hilo la Kik boxing lenye hadhi ya Kimataifa litafanyika katika uwanja wa taifa March 1,ambapo mchezo huo utakuwa ni wa round 3
No comments:
Post a Comment